
Ushairi wenye ladha
Mashairi
• • •
- SIO PAMBOLIMETUNGWA NA FADHILA MWANANGURA #MALENGA MWEMA Nalikalia kigogo, niweze kulijadili Hili neno sikidogo, linaniuma akili Sitolilumba kidigo, Kuchengwa hilo kubali Kuavya mimba si pambo, msi mwana ni mkiwa. Sina hasira…More
- RAHAUbeti wa kwanza (1 ) Asali tamu ya guru , raha kutekerenyeka Kupatiwa kwa uhuru, nafsi yanyong’onyeka Hii haina ushuru , K.R.A yaumbuka Mapenzi hasa Napewa , sikuiga ni kufana…More
- WENGINEUbeti wa kwanza ( 1 ) Hii nafasi nyingine , nudhumu kuiandika Niseme neno lengine , kuihusu kila rika Nikiyasaza mengine , bado hayajanifika Mabinadamu mengine , jina ndo limebakia…More
- NYONYOUbeti wa kwanza (1 ) Kwa wanaonisikia , ni shairi si waraka Naghani najifutua , pwamu zinanichemka La mama najinyonyea , lengine sitotosheka Kiswahili aminia , nyonyoyo naitosheka More
- POLE1. Sijivishi uhakimu , uungu na ujuaji Najitwika jukumu , kunena langu hitaji Nahitaji ‘siwe ngumu , samehe na ufariji Sema pole ukosapo , sema pole ukoswapo More
- MITANDAO1. Jamani siwakemei, si uzuzu nayosema Nisiposema ni hai, nitakosa yangu dhima Nasema nikiwarai, mnelewe himahima Ulevi gani ‘mezuka , mitandao kutuganda? More
• • •